Habari kuhusu Maendeleo
Wakombozi wa Kizungu, Shule za ki-Liberia

Kwa baadhi ya nchi za Kiafrika, dhana ya kubinafsisha mfumo wa elimu kwa Asasi za Kiraia zenye fedha haikwepeki. Lakini wanaoathiriwa na matokeo ya ubinafsishaji huo ni wanyonge.
Utafiti wa Kwanza wa Kina Kuhusu Unyanyasaji wa Watoto Nchini Madagaska Unaonesha Hali Inatisha
Ripoti inasema asilimia 89 ya watoto wanadai kuathiriwa na unyanyasaji majumbani angalau mara moja wakati asilimia 30 ya vijana kinda wa kike katika Kisiwa cha Madagaska tayari wana mtoto.
Bangladeshi Yasherehekea Kurushwa Angani Kwa Setilaiti Yao Kwa Mara ya Kwanza
"Kurushwa kwa chombo hiki cha Bangabandhu Satellite-1 kumethibitishwa. labda hivi ndivyo nchi inavyobadilika. Tunajisikia fahari sana."
Serikali ya Ufilipino Yapanga Kukifunga Kisiwa cha Kitalii cha Boracay na Kutishia Kuhamisha Maelfu ya Wakazi
"Malefu kwa maelfu ya watu wataathirika ikiwa kisiwa hiki kitafungwa moja kwa moja. Watu halisi, wanaopumua, siyo takwimu."
Upungufu wa Maeneo ya Wazi Wawalazimisha Watoto wa Mumbai Kucheza Katika Maeneo Machafu
“Hatuwaambii wazazi wetu kuwa tunacheza hapa. Wanafikiri tunaenda kwenye viwanja vizuri kucheza. Kama wakijua...hawataturuhusu kutoka tukacheze."
Sri Lanka Yaingia Hasara Kufidia Gharama za Matumizi Mabaya ya Serikali
Kiasi kikubwa cha fedha kilichotumika kuvunja mkataba wa manunuzi ya ndege mpya za Airbus kingetumika kwa mambo mengine mengi.