Habari kuhusu Maendeleo kutoka Mei, 2014
Rwanda: Mema, Mabaya na Matumaini
Ingawa Rwanda imepiga hatua kubwa katika kuponya majeraha ya mauaji ya kimbari ya 1994, makundi ya utetezi yanaripoti vitendo vya uvunjaji wa haki za binadamu.
Trinidad na Tobago : Kutoka Serikali Moja hadi Nyingine
Nchi yetu haiwezi kuendelea kuuza nje ya nchi kazi zetu, rasilimali yetu, na watu wetu wenye ujuzi kuzifadhili sera za kigeni ambazo hazijachunguzwa wala kuwekwa wazi… Afra Raymond anasema kwamba...