Habari kuhusu Maendeleo kutoka Novemba, 2013
Wanasayansi Kutoka Duniani Kote Wakusanyika Nchini Brazil
Jukwaa la Sayansi Duniani (WSF) linajumuisha mamia ya wanasayansi kutoka duniani kote wiki hii nchini Brazil, kujadili wajibu wao katika karne ya 21 na kusisitiza umuhimu wa ushauri wa kisayansi...
VIDEO: “Wao Hufanya kazi na kufa”, Ugonjwa Usioeleweka Yawaua Wafanyakazi wa Miwa wa Amerika ya Kati
Wafanyakazi ambao hukata miwa na mazao mengine katika tambarare ya pwani ya Amerika ya Kati na wamekumbwa na ugonjwa wa ajabu: Kutoka Panama hadi kusini mwa Mexico, wafanyakazi wamashikwa na...
Matatizo ya Colombia kwa Ukosefu wa Usawa Mijini
Taarifa ya utafiti wa hivi karibuni wa Umoja wa Mataifailiyoripotiwa katika El Tiempo, iligundua kwamba Colombia ilikuwa nchi ambayo iliongezeka kwa wingi wa kukosekana kwa usawa wa mijini mwake kwa...
“Maendeleo kwa Akina Nani?” Wa-Guatemala Wapinga Mradi wa umeme wa Maji
“Maendeleo kwa ajili ya nani? Je, fedha zitabaki katika jamii? Hapana, inaendelea kujaza mifuko ya wengine, na tutaendelea kuishi katika umaskini. Sisi ni tunacho uliza sasa ni kwa serikali kufuta...
“Nchi” Nzuri ya Afrika
Katika toleo la wikii hii la Brainstorm, jarida la mtandaoni la Kikenya, Brenda Wambui hulaani masimulizi ya sasa kuhusu Afrika: “Afrika ni nchi”, “Afrika inapaa”, ‘”Mitindo ya Kiafrika.” Huchunguza jinsi...
Mradi Mkubwa wa Reli Kati ya Mji wa Niamey na Cotonou Kuanza
Mradi wa reli wa urefu wa kilometa 1,500 kati ya Niamey, mji mkuu wa Niger na Cotonou, mji mkuu wa Benin umepitishwa na mamlaka ya nchi hizo mbili na ujenzi...
Sherehe ya ‘Siku ya Makazi Duniani’ Nchini Cambodia
Zaidi ya Wa-Cambodia 500 walijiunga na maandamano wakati wa maadhimisho ya Siku ya Makazi Duniani katika Phnom Penh kuonyesha kufukuzwa kwa nguvu na migogoro ya ardhi nchini.