Habari kuhusu Mahusiano ya Kimataifa
Papa Francis Ataitembelea Makedonia Kaskazini Mwezi Mei, Muda Mfupi Baada ya Uchaguzi wa Rais
Mara ya kwanza kwa Papa Francis kutembelea Macedonia Kaskazini
Kwa nini Cuba Iliamua Kuwaondoa Madaktari Wao 8,000 Kutoka Nchini Brazili
Havana ilitangaza kusitisha makubaliano yake na Brazil kufuatilia kauli ya rais mteule Jair Bolsonaro kuhusu mradi ambao unadaiwa "kuwa hatari na unapungua thamani yake".
Wakombozi wa Kizungu, Shule za ki-Liberia

Kwa baadhi ya nchi za Kiafrika, dhana ya kubinafsisha mfumo wa elimu kwa Asasi za Kiraia zenye fedha haikwepeki. Lakini wanaoathiriwa na matokeo ya ubinafsishaji huo ni wanyonge.
Sabika Sheikh, Mwanafunzi wa Pakistan Aliyetaka Kuunganisha Nchi Mbili Auawa kwa Kupigwa Risasi
"...alisema...' Ninataka kujifunza utamaduni wa ki-Marekani na ninataka Marekani kujifuzna utamaduni wa Pakistan na ninataka tuje pamoja na tuungane," mama yake wa kufikia anakumbuka.
Mizaha Inavyotumika Kuelewa Mapambano ya Puerto Rico na Washington
Mtandao wa Juice Media umehoji: Je, uko tayari kwa ukweli wa kiasi hiki?
Salamu ya Siku ya Wajinga Kutoka Ubalozi wa Urusi

Tarehe 1 Aprili ni siku ya wajinga Duniani. Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi imekuja na mzaha wake.
Donald Trump Alikuwa Sahihi: Wa-Irani Wana Tabia ya Kucheza na Moto
Sherehe za kale nchini Iran za kucheza na moto, zinazoitwa Chaharshanbe Suri, zimethibitisha kuwa Donald Trump alikuwa sahihi -ingawa bila kujua - pale alipoituhumu Iran hivi karibuni kwa "kucheza na moto."