Habari kuhusu Mahusiano ya Kimataifa kutoka Oktoba, 2013
Je, Kutakuwa na Fungate kwa Marekani na Irani?
Raia wa Iran hawakubaliani ikiwa mahusiano mazuri yaliyoashiriwa na tukio la kupigiana simu kati ya Marais Obama na Rouhani ni jambo jema.
Gambia Yajitoa Jumuiya ya Madola, Yaiita Jumuiya Hiyo ‘Ukoloni Mambo-Leo’
"Gambia haitakuwa mwanachama wa taasisi yoyote ya ukoloni mambo-leo," nchi hiyo ya Afrika Magharibi ilitangaza katika tamko lake la wiki hii.