Habari kuhusu Mahusiano ya Kimataifa kutoka Mei, 2018
Sabika Sheikh, Mwanafunzi wa Pakistan Aliyetaka Kuunganisha Nchi Mbili Auawa kwa Kupigwa Risasi
"...alisema...' Ninataka kujifunza utamaduni wa ki-Marekani na ninataka Marekani kujifuzna utamaduni wa Pakistan na ninataka tuje pamoja na tuungane," mama yake wa kufikia anakumbuka.