Habari kuhusu Mahusiano ya Kimataifa kutoka Aprili, 2014
Mzazi wa Kisyria Auomba Ubalozi wa Uingereza Kumwunganisha na Mwanae
Wael Zain, raia wa Syria anayeishi Londona, ametumia mtandao wa Twita kutafuta kusikilizwa madai yake kuwa mwanae wa kiume mwenye uraia wa Uingereza ametelekezwa Syria...
Rais Mugabe Anadhani Naijeria Inanuka Ufisadi Kuliko Zimbabwe
"#Mugabe ana ujasiri wa kuiita serikali ya Naijeria kuwa imekithiri ufisadi. Serikali ya Naijeria ina haki ya kijisikia kutukanwa."
Wa-Macedonia Wamcheka Rais wao ‘Kuchemka’ Kwenye Mahojiano
Wakati uchaguzi wa Rais Macedonia unakaribia, makosa aliyoyafanya Rais wa Macedonia Gjorge Ivanov kwenye mahojiano ya televisheni yasababisha majadala mkali miongoni mwa watumiaji wa mitandao...
Mazungumzo ya GV: “Mtandao wa Twita” wa Siri wa Kimarekani Nchini Cuba
Mpango wa siri wa Marekani wa kubadili utawala nchini Cuba wenye huduma ya ujumbe inayofanana na Twita iitwayo ZunZuneo sasa unaangaliwa kwa mashaka baada ya...