Habari kuhusu Mahusiano ya Kimataifa kutoka Oktoba, 2009
Haiti, Jamhuri ya Dominica: Hali Mbaya Yaongezeka
Repeating Islands anaripoti kuhusu mauaji ya Wahaiti wanne katika Jamhuri ya Dominica
Wanablogu Wa Asia Kusini Na Tuzo Ya Nobeli Ya Amani Aliyopewa Obama
Rais wa Marekani Barack Obama amepokea tuzo mashuhuri ya Amani ya Nobeli leo. Wanablogu na wanaoblogu habari fupi fupi huko Asia kusini wanaelezea maoni yao kuhusu habari hiyo.