Habari kuhusu Mahusiano ya Kimataifa kutoka Disemba, 2013
Changamoto za Huduma ya Afya kwa Familia Katika Apatou, French Guiana
Henri Dumoulin, mchangiaji wa Global Voices, anakumbuka kukaa kwake huko Apatou, French Guiana,sehemu iliyoko katika msitu wa Amazon. Anaelezea jinsi gani, kama daktari wa mpango wa ulinzi wa Afya ya...
Ulaya Yamuonya Waziri wa Ufaransa Kuhusu Matamshi Yake Dhidi ya Warumi
Matamshi ya Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa, Manuel Valls, yalifufua uhasama uliokuwepo kati ya Ufaransa na Warumi.