Habari kuhusu Mahusiano ya Kimataifa kutoka Julai, 2014
Miezi Michache Baada ya Kupotea kwa MH370, Kuanguka kwa Ndege Nchini Ukraine Kwawashitua Raia wa Malasia
Mhudumu wa ndege wa Malaysia aelezea katika Instagram na Twita kuhusiana na watu wengi kupoteza maisha katika matukio ya ajali za ndege za Malaysia: "Katika kipindi cha miezi minne niliwapoteza marafiki zangu takribani 30."