Habari kuhusu Mahusiano ya Kimataifa kutoka Septemba, 2013
Iran: “Mauaji” ya Wapinzani wa Iran 52 Wasiokuwa na Silaha
Vikosi vya usalama vya Iraq vilifanya “mauaji” ya wapinzani wa Iran wapatao 52 ambao hata hivyo hawakuwa na silaha asubuhi ya Jumapili ndani ya kambi yao kaskazini mwa Baghdad, mujahedeen-e-Khalq, wafungwa...
Wafanyakazi wa Kujitolea Raia wa Ki-Hispania Waachiliwa Huru Baada ya Miezi 21 Uhamishoni
Montserrat Serra na Blanca Thiebaut walikuwa wakijenga hospitali katika eneo la Dadaab, Kenya, ndani ya kambi kubwa zaidi duniani, wakati walipotekwa