Habari kuhusu Mahusiano ya Kimataifa kutoka Januari, 2013
Pasipoti za Kidiplomasia kwa Viongozi wa Kidini nchini Brazil?
Wizara ya Mahusiano ya Kimataifa ilitoa pasipoti za kidiplomasia kwa viongozi wa kanisa la kiinjili liitwalo World Church of the Power of God, hatua ambayo imewasha majadiliano makali kuhusu dhana ya nchi kutokuwa na dini kama inavyotamkwa katika katiba ya Brazili.