· Oktoba, 2020

Habari kuhusu Mahusiano ya Kimataifa kutoka Oktoba, 2020

Muungano wa Afrika yageukia teknolojia wa uangalizi wa kibiolojia kukabiliana na COVID-19

PanaBIOS,teknolojia ya ufuatiliaji binadamu unao ungwa mkono na Umoja wa Afrika, unaweza fuatilia usambaa wa COVID-19 na kukutanisha vituo vya vipimo barani.

Televisheni ya serikali ya China imepotosha matamshi ya mwanasayansi wa WHO kwenye video ilioenea sana

Neno"ikiwa "katika hotuba ya Dkt.Swaminathan ilitolewa kwenye video na kifungu cha ushirika iliokua awali kudokeza dalili