Habari kuhusu Mahusiano ya Kimataifa kutoka Septemba, 2014
Huduma za Afya nchini Madagaska Zinaweza Kukabiliana na Mlipuko wa Ebola?
Nchi kumi na tano za Afrika ikiwemo Madagaska ziko kwenye hatari zaidi ya maambukizi ya Ebola kwa sababu zina mazingira yanayofanana na yale ya nchi zilizoathirika. Waziri Mkuu anasema Madagaska imejiandaa lakini wengine wana wasiwasi
Kimbia! Waislamu Wanakuja!

Mtazamo wa vyombo vikuu vya habari mara nyingi unaonesha “Waislamu” wenye sura moja kubwa, ambayo haikosi kuwa na ghasia. Kwenye kichekesho hiki kisicho na maana yoyote, Mchekeshaji wa ki-Pakistani Sami Shah anakuletea makundi makuu ya “waislamu”.
Uimarishaji wa Amani ya Kudumu Jamhuri ya Afrika ya Kati
Wakati Umoja wa Mataifa ukizindua mpango wake wa kulinda amani kwa kutuma wanajeshi 1,500 nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, wafuatiliaji wachache wanajiuliza ni kwa nini uamuzi huu ulichukua muda...