Habari kuhusu Mahusiano ya Kimataifa kutoka Oktoba, 2016
Kilichoandikwa na Shirika la Habari Urusi Wakati wa Mdahalo wa Mwisho wa Urais Marekani
Mradi wa RuNet unaoangazia habari za Urusi unapitia twiti zilizoandikwa usiku wa mdahalo huo na shirika kubwa la habari la Urusi ili kupata picha ya kile kilichoendelea jijini Moscow.