Habari kuhusu Safari
Shule pekee ya muziki Zanzibar hatarini kufungwa
Kwa zaidi ya wanafunzi 1,800 waliowahi kupitia mafunzo ya shule ya DCMA, hii ndiyo shule pekee ya muziki wanayoifahamu, ambako wanaweza kujifunza na kukua kama wasanii na wanamuziki mahiri.
Maisha Ndani ya Kituo cha Kulelea Watu Wenye Ukoma Nchini Myanmar
Pyay Kyaw anawatembelea wagonjwa kwenye kituo cha kulelea watu wenye ukoma cha Mt. Yosefu Cotto Legnos, kinachowatunza watu wengi, mmoja wao Maya, ambaye aliwahi kulazimishwa kwenda kuishi kwenye makaburini kwa sababu ya unyanyapaa.
Sri Lanka Yaingia Hasara Kufidia Gharama za Matumizi Mabaya ya Serikali
Kiasi kikubwa cha fedha kilichotumika kuvunja mkataba wa manunuzi ya ndege mpya za Airbus kingetumika kwa mambo mengine mengi.
Jinsi Raia wa Mynmar Wanavyokabiliana na Kupanda kwa Joto Kunakotokana na El Niño
El Niño tayari imeshasababisha ukame katika maeneo mengi ya Myanmar. Fuatilia kujua namna wakazi wanavyokabiliana na joto kali.
Wanawake Wanaovaa Nusu Uchi Wataiokoa Sekta ya Utalii Kenya?
Je, kutembea uchi yanaweza kuwa mbinu bora ya kufufua sekta ya utalii nchini Kenya kufuatia mashambulizi ya wanamgambo wa Al Shabaab?: Seneta mteule, Mbura anasemekana kuwaomba wanawake katika mkoa wa...
Shughuli Husimama kwa Muda Waziri Mkuu wa Pakistan Anapotembelea Jiji la Quetta
Kwa mujibu wa makadirio, mamia ya maelefu ya raia wanaathirika moja kwa moja au kwa namna moja au nyingine kila barabara zinapofungwa kwa sababu za usalama wa watu maarufu wanapokuwa Quetta
Mbali na Kusikia Habari za Boko Haram Nchini Niger, Fahamu Jangwa la Ténéré
Niger ipo katika vita na Boko Haram. Tusilisahau hili, hata hivyo, Niger ni mahali palipo na miradi mingi na pia ni eneo lililosheheni utajiri mwingi wa asili pamoja na ushairi.
Picha za Kusikitisha za Watoto wa Kifilipino Wanaofanya Kazi Migodini
"Ni miaka minne sasa tangu nilioacha shule. Niliweza kufika darasa la sita peke yake na hapo nililazimika kuachana na masomo ili nikafanye kazi".
Mradi wa Video Waelezea Mapambano ya Kimaisha ya Watu wa Papua ya Magharibi
"Hizi ni habari tofauti na zile za mgogoro uliopo: Harakati za kupata elimu, mazingira, usawa na utu."
Hali ya Kusikitisha Katika Kituo cha Magarimoshi cha Mumbai
Mwanablogu Antarik Anwesan anaelezea hali halisi ya kile kinachoendelea katika kituo cha magarimoshi cha Goregaon kilichopo Mumbai, India. Gari moshi lifanyalo safari za ndani liliondoka kituoni bila ya kutoa taarifa...