Habari kuhusu Safari kutoka Januari, 2014
Kuokoa Maisha ya Tembo huko Laos
Kwa sasa, kuna mamia kadhaa tu ya Tembo nchini Laos, nchi ambayo mwanzoni ilijulikana kama 'nchi ya mamilioni ya tembo'. Makundi ya wapigania haki za wanyama wapaza sauti zao ili kulinda uhai wa tembo.