Habari kuhusu Chakula
Rais wa Angola Aamsha Hasira Kwenye Mahojiano Yake Akidai Hakuna Njaa Nchini Kwake
"Leo kuna chakula cha kutosha Angola, hakuna mtu anayeweza kusema eti Angola ina njaa. Kilichopo ni utapiamlo," alisema Rais wa Angola kwenye mahojiano.
Namna Utoaji Bure wa Kifungua Kinywa Nchini Yemen Ulivyorudisha Wasichana 500 Shuleni
Kabla ya mradi kuanza, moja ya tano ya wanafunzi walikuwa wahahudhurii. Sasa, wote wamerudi darasani.
Soga la “Twita” Laibua Hali ya Ukame Mbaya Kuwahi Kutokea Nchini Lesotho
"tatizo linaendelea kuwa kubwa, kwa hivyo inatubidi kukabiliana nalo kwa kutafuta ufumbuzi wa muda mrefu, sio kugawa cakula pekee."
Mbali na Kusikia Habari za Boko Haram Nchini Niger, Fahamu Jangwa la Ténéré
Niger ipo katika vita na Boko Haram. Tusilisahau hili, hata hivyo, Niger ni mahali palipo na miradi mingi na pia ni eneo lililosheheni utajiri mwingi wa asili pamoja na ushairi.
Kupambana na Utapiamlo Nchini Rwanda Kupitia Muziki
Wanamuziki maarufu wa Rwanda King James, Miss Jojo, Riderman, Tom Close, and Urban Boyz walijiunga na mapambano dhidi ya utapiamlo nchini Rwanda kupitia video ya muziki kwenye mtandao wa YouTube....
Katika Picha: Gaza Yaadhimisha Eid Al-Adha
Ikiwa na zaidi ya Wapalestina 2,000 waliojeruhiwa katika mashambulizi ya hivi karibuni yaliyofanywa na Isralei katika Ukanda wa Gaza, raia bado wanaona leo hii kuna kila sababu ya kusherehekea sikukuu ya Kiislam ya Eid Al-Adha.
Nzige Wavamia Mji Mkuu wa Madagaska
#valala pic.twitter.com/YHzOx5Q8QU — Vaintche Rahouli (@vincraholi) Agosti 28, 2014 Watumiaji-mtandao wa Twita na Facebook kutoka mji mkuu wa Madagaska, Antananarivo, wamepachika picha kadhaa za nzige wakivamia mji. Uvamizi wa nzige...
Hadithi ya Wakimbizi wa Njaa kutoka Niger katika Algeria Mashariki
Katika wiki chache zilizopita, mamia ya wahamiaji mwa Jangwa la Sahara kutoka Mali au Niger wamehamia miji ya Algeria katika mpaka wa Mashariki. Liberté Algérie anasimulia hadithi ya wale ambao...
“Hatujaweka Mkazo vya Kutosha Kwenye Afya ya Vijana”
Ripoti ya hivi karibuni kutoka kwa Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhusu afya ya vijana duniani inabainisha kwamba: Sababu kubwa za vifo vya vijana duniani ni ajali za barabarani, VVU?UKIMWI,...
Mwongozo wa Kilimo cha Uyoga Nchini Kenya
Huu ni mwongozo hatua kwa hatua wa kilimo cha uyoga nchini Kenya: Kutokana na mahitaji ya umma, sisi tulichukua mpango wa kuandaa mwongozo wa kusaidia wakulima wenye nia ya kuanzisha...