Habari kuhusu Mahusiano ya Kimataifa kutoka Mei, 2014
Rwanda: Mema, Mabaya na Matumaini
Ingawa Rwanda imepiga hatua kubwa katika kuponya majeraha ya mauaji ya kimbari ya 1994, makundi ya utetezi yanaripoti vitendo vya uvunjaji wa haki za binadamu.
Mazungumzo ya GV: Maandamano ya ‘Alizeti’ Taiwan
Je, harakati za kupigania demokrasia nchini Taiwani zina demokrasia ndani yake? Tunazungumza na waandishi wetu wa Taiwani kuhusu maandamano hayo pamoja na uwezekano wa mamlaka...