· Aprili, 2017

Habari kuhusu Mahusiano ya Kimataifa kutoka Aprili, 2017

Salamu ya Siku ya Wajinga Kutoka Ubalozi wa Urusi

Tarehe 1 Aprili ni siku ya wajinga Duniani. Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi imekuja na mzaha wake.