Habari kuhusu Mahusiano ya Kimataifa kutoka Februari, 2014
Caribian: Namna Vyombo vya Habari Vinavyoathiri Mitazamo
Venezuela na Haiti zimekuwa zikikabiliwa na maandamano ya kupinga serikali. Hata hivyo, ukuzaji wa mgogoro wa Venezuela unaofanywa na vyombo vya habari vya kimataifa na ukimya wake kwa mgogoro wa...
Pakistan, Usiingilie Vita vya Ndani ya Syria
Siku moja baada ya dondoo ndogo ya habari yenye kichwa cha habari, “Saudi Arabia ‘inatafuta uungwaji mkono kwa waasi wa” ilipoonekana kwenye magazeti ya Pakistani, mwanablogu wa siasa Ahsan Butt...
Picha Mpya ya Korea Kaskazini ya Shirika la Anga la Marekani
Wasomaji wa kimataifa wanaofuatilia masuala ya Korea Kaskazini labda wangekutana angalau mara moja na picha hii maarufu ya rasi ya Korea kutoka Shirika la Anga la Marekani (NASA) kuonesha tofauti kubwa ya...
Madagaska Bado Inasubiri Waziri Mkuu, Serikali Mpya
Mwezi mzima tangu Rais mteule Hery Rajaonarimampianina achaguliwe kuwa mkuu wa nchi nchini Madagaska, bado hakuna dalili nani atakuwa waziri mkuu na akina nani wataunda serikali. Ma-Laza anahoji kuwa suala...
Rais Yanukovych wa Ukraine ang'olewa madarakani
Baada ya maandamano, vurugu na upinzani dhidi ya serikali uliosababisha vifo vya watu wapatao 100, Bunge la Ukraine hatimaye limepiga kura ya kumwondoa Rais Viktor Yanukovych kama hatua ya kujibu...
Upasuaji wa Kwanza wa Moyo Kongo Brazzaville
Mtandao wa kimataifa wa Afya La Chaîne de l’Espoir (Maana yake Kiungo cha Matumaini) unaripoti kuwa watoto saba wa ki-Kongo waliokuwa na hali mbaya wamenufaika na upasuaji wa moyo [fr]...
Fuatilia Kuenea kwa Maandamano ya Ukraine
Maandamano yamechukua sura mpya tarehe 18 Februari, na Ukraine sasa imekuwa uwanja wa mapambano baina ya mamia ya maelfu ya raia na vikosi vya ulinzi.