Habari kuhusu Maendeleo kutoka Machi, 2014
Namna Huduma ya Kuhamisha Fedha kwa Njia ya Simu Ilivyobadili Maisha ya Wakenya
Wakenya kwenye mtandao wa Twita wanaeleza namna MPesa, huduma ya kufanya miamala ya kibenki kwa kutumia simu za mkononi, ilivyobadili maisha yao tangu kuanzishwa kwa huduma hiyo miaka saba iliyopita
Ufisadi Nchini Nepal: Umeanza Kuwa Tabia Inayokubalika Kijamii?
Watu wana hasira na wamechoka, na mashirika ya habari mara nyingi huchapisha habari kuhusu uhusiano kati ya viongozi wa kisiasa na wezi wa mali za umma lakini hakuna anayezungumzia kuingia...
Teknolojia ya Kiafrika: Mradi wa TechAfrique Watathmini Hatua Iliyofikiwa
Le continent africain apparaît comme la nouvelle frontière mondiale du développement numérique. Ce développement provoque une nouvelle impulsion entrepreneuriale en Afrique, et notamment en Afrique francophone. Mais ce potentiel reste très largement méconnu en Europe ainsi qu'en...
Kupunguza Pengo Kati ya Matajiri na Masikini wa Bara la Afrika
"Wengine wanapanda ndege kupata matibabu ya 'aleji', wakati wengine wanatumia mizizi ya mitishamba kwa sababu tu hawawezi kumudu matibabu ya kawaida kabisa ya malariat."
Kuumaliza Umasikini Nchini Malaysia
Kikundi cha Saya Anak Bangsa Malaysia kinashinikiza kupitishwa kwa Sheria ya Ujumuishi wa Kijamii ili kutatua tatizo la umasikini nchini Malaysia: Maelekezo yatokayo juu kuja chini yanaonekana kutokufanya kazi pamoja...
Mkutano wa Wanawake wa Nchi Zizungumzao Kifaransa 2014 Wafunguliwa Kinshasa, DRC
Mkutano wa wanawake wa nchi zizuingumzao Kifaransa 2014 [fr] Unafunguliwa leo jijini Kinshasa, DRC. Huu ni mkutano wa pili kufuatia ule uliofanyika Paris mwaka 2013. Wakati ule wa kwanza ulijikita katika...
Majira ya Baridi Tajik, “Jiji Baya Zaidi Barani Asia”
Mwanablogu msafiri anaandika kuhusu namna alivyotumia muda wake wa msimu wa baridi jijini Dushanbe, mji mkuu wa Tajikistan. Nilitumia sehemu kubwa ya sehemu ya majira ya baridi nikiwa nimejikunyata kwenye...