Kuumaliza Umasikini Nchini Malaysia

Kikundi cha Saya Anak Bangsa Malaysia kinashinikiza kupitishwa kwa Sheria ya Ujumuishi wa Kijamii ili kutatua tatizo la umasikini nchini Malaysia:

Maelekezo yatokayo juu kuja chini yanaonekana kutokufanya kazi pamoja na madai tofauti ya serikali. Ili misaada ifanye kazi kweli, basi iende kupunguza ‘maumivu binafsi ya mfukoni’ kwa sababu kila mtu ana shida tofauti. Kwa wengine inaweza kuwa ni elimu, wengine tabia ya kamari au ulemavu au kujiamini. Si kumaanisha kufungulia bomba la fedha kivile, ila namna unavyogawanya na kutumia fedha hizi.

Anza mazungumzo

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Miongozo

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.