Habari kuhusu Maendeleo kutoka Mei, 2019
Kwa nini Wakolombia Wazawa Wanaandamana Dhidi ya Rais Ivan Duque?
Wazawa Kolombia wameratibu maandamano ya kitaifa kupinga mpango mpya wa maendeleo wa Rais Duque wakiunganisha nguvu na Wakolombia weusi, wakulima, wafanyakazi na wanafunzi .