Habari kuhusu Maendeleo kutoka Aprili, 2014
Wito wa Kuacha Ujenzi Nchini Taiwan Ili Kuwalinda Chui
Chui wameorodheshwa kama wanyama wanaoishi kwenye mazingira magumu [zh] nchini Taiwan. Kwa kuwa chui wakubwa huishi misituni na mwituni katika maeneo tambarare na yale yenye milima na makazi yao ni...
Chanzo cha Maji nchini China Chawekwa Kemikali Inayosababisha Kansa
Benzene, kemikali inayosababisha kansa kwa haraka kabisa, imegundulika kuwepo kwenye chanzo cha maji cha Jiji la Lanzhou , wakati fulani ilipimwa na kukutwa kwa kiwango cha mara 20 zaidi ya kile kinachofahamika kuwa ni salama kwa matumizi.
Niger Yapata Kituo Chake cha Kwanza cha Reli Baada ya Kusubiri kwa Miaka 80
Aprili 7, Niger ilizindua katika mji mkuu wa Niamey kituo chake cha kwanza cha treni kuwahi [fr]. Mamlaka tayari ilikuwa na makadirio ya ujenzi wa kituo cha treni miaka 80...
Kwa Nini Rais wa Madagaska Hajatangaza Uteuzi wa Waziri Mkuu
Rais mpya wa Madagaska Hery Rajaonarimampianina alichaguliwa kuwa raia mnamo Desemba 20, 2013. Miezi michache baadae, bado hajatangaza uteuzi wa waziri mkuu wa serikali yake mpya. Wachunguzi wengi wanashangaa kwa nini...