Majira ya Baridi Tajik, “Jiji Baya Zaidi Barani Asia”

Mwanablogu msafiri anaandika kuhusu namna alivyotumia muda wake wa msimu wa baridi jijini Dushanbe, mji mkuu wa Tajikistan. 

Nilitumia sehemu kubwa ya sehemu ya majira ya baridi nikiwa nimejikunyata kwenye kifaa cha kupashia nyumba kiitwacho (pechka), huku nikiwa na kikombe cha chai mkononi. Baadhi ya nyakati za asubuhi kila kitu jikoni kiliganda. Kuna wakati nilijaribu kumimina maji ya moto kwenye kikombe na ikaganda ikiwa nusu…

Kwa baadhi ya nyakati za usiku umeme ulikatika, tena kwa baadhi ya masaa…

Simulizi hiyo inasaidia kuelewa kwa nini jiji la Dushanbe hivi karibuni liliorodheshwa kuwa moja ya majiji mabaya kabisa kwa wasafiri kuishi barani Asia.

Anza mazungumzo

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Miongozo

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.