
Waandamanaji wanalamikia kuhusu ukiukwaji wa haki za ardhi nchini Cambodia. Picha kutoka ukurasa wa Facebook wa Licadho
Zaidi ya Wa-Cambodia 500 walijiunga na maandamano wakati wa maadhimisho ya Siku ya Makazi Duniani katika Phnom Penh kuonyesha kufukuzwa kwa nguvu na migogoro ya ardhi nchini.