Nchi yetu haiwezi kuendelea kuuza nje ya nchi kazi zetu, rasilimali yetu, na watu wetu wenye ujuzi kuzifadhili sera za kigeni ambazo hazijachunguzwa wala kuwekwa wazi…
Afra Raymond anasema kwamba mipango ya sasa ya serikali kwa serikali ni tisho la moja kwa moja kwa masilahi ya msingi ya Trinidad na Tobago.