Habari kuhusu India kutoka Juni, 2013
Vijiwe Vya Usomaji Gazeti Mjini Mumbai Vyazorota
Vachanalays (vituo vya kusoma magazeti) ni jambo la kawaida katika vitongoji vingi mjini Bombay ambapo wenyeji husoma magazeti na kujadili habari zilizotokea siku husika. Sans Serif anaripoti jinsi vituo hivyo vinavyozidi...