Yaliyojiri Wiki Hii Hapa Global Voices: Hatutaki Mazoea

Matangazo ya yaliyojiri wiki hii hapa Global Voices yanaangazia baadhi ya habari kubwa zilizojitokeza kwenye habari zetu za Global Voices. Wiki hii, tunazungumza na mwandishi wetu Endalk kuhusu maandamano, siasa za kutambuliwa na matumizi ya nguvu yanayofanywa na serikali nchini Ethiopia.

Kadhalika, tunakusimulia visa vya majanga, ubaguzi na harakati za lugha kuanzia Pakistan, Trinidad na Tobago na Australia. Na Salma Essam, anasimulia hali isiyotarajiwa anayojisikia kuhusu

Shukrani nyingi kwa Sana Saleem, Eduardo Avila, Janine Mendes-Franco na waandishi, watafsiri, na wahariri wetu walisaidia kufanikisha matangazo haya.

Katika kipindi hiki, tunasindikizwa na muziki wenye haki miliki ya Creative Commons kutoka maktaba ya Free Music, ikiwa ni pamoja na Please Listen Carefully wa Jahzzar; Clover wa Little_Glass_Men; Stay wa Igor_Khabarov; Modulation of the Spirit wa Little Glass Men;  The Sink wa Cory GraySe recourber by Monplaisir; na Bongo Avenger wa Eric & Ryan Kilkenny.

Picha inayopambia habari hii ni maandamano ya Ethiopia iliyotoka kwenye ukurasa wa Facebook wa Abdi Lemessa. Imetumiwa kwa ruhusua.

Anza mazungumzo

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Miongozo

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.