Habari kuhusu Pakistan kutoka Aprili, 2015
GVFace: Kuvunja Ukimya wa Pakistani Kuhusu Mapigano Yanayoendelea Jimbo la Balochistani

Mijadala wa wazi kuhusu vita vinavyoendelea kwenye jimbo la Balochistani ni nadra. Wanaotetea umoja wa nchi hiyo wanadhani kimya kuhusu jimbo Balochistan ni wajibu wao wa kizalendo, wengine wakijizuia kwa hofu ya nguvu ya kijeshi ya Pakistani.