Matangazo ya Sauti ya ‘Wiki Ilivyokwenda’ Global Voices: Waliopotea

Matangazo ya sauti ya ‘Wiki Ilivyokwenda'yanaangazia baadhi ya habari ambazo tumezichapisha kwenye Global Voices.

Wiki hii, tunakuchua mpaka Ecuador, Uganda, Bangladesh na Ukraine. Tutaongea na mhariri wetu wa Pakistan Sana Saleem kuhusu Zeenat Shahzadi, mwandishi asiyejulikana alipo kwa kipindi cha miezi tisa.

Shukrani nyingi kwa wandishi, watafsiri na wahariri waliofanikisha haya. Kipindi hiki kimesheheni habari zilizoandikwa na Juan ArellanoJames PropaPantha Rahman RezaAric Toler na Tetyana Lokot, na Sana Saleem.

Tunakuletea burudani ya muziki wenye leseni ya Creative Commons kutoka kwenye maktaba ya muziki ya Free Music, pamoja na Please Listen Carefully wa Jahzaar; Orange Juicier wa Podington BearAnalog wa Jon Luc Hefferman; Giga Lounge wa Gigaboy; Dancing on the Edge wa Kai Engel; and WTS wa Cory Gray.

Tarajia kusikia sauti zetu tena baada ya majuma mawili. Usikilizaji mwema!

Picha kwenye alama ya SoundCloud imetoka Wikimedia Commons/UTR News, CC BY 3.0, na Luis Prado/mradi wa Noun, imehaririwa naTetyana Lokot.

Anza mazungumzo

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Miongozo

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.