Habari kuhusu Myanmar (Burma)

Sinagogi Pekee Lililobaki Myanmar

  25 Februari 2014

Lilijengwa miaka 120 iliyopita, Sinagogi la Musmeah Yeshua lililoko eneo la Yangon ni Sinagogi pekee la wayahudi lililoyobaki katika eneo linaloongozwa na waumini wa dini ya Kibudha waishio nchini Myanmar....

PICHA: Maisha Nchini Myanmar

  4 Oktoba 2013

Mpiga picha Geoffrey Hiller ameweka kumbukumbu ya maisha yake nchini Myanmar kuanzia mwaka 1987 mpaka kipindi cha kihistoria kutokea nchini humo

Raia wa Myanmar Wachukizwa na Mashambulizi Dhidi ya Wahamiaji Wenzao Nchini Malasia.

  21 Juni 2013

Vurugu za kikabila nchini Mynmar inaonekana kusambaa hata katika nchi za jirani.. Baadhi ya wahamiaji wa Mynmar wa jamii ya budha wanaoishi nchini Malasia wiki chache zilizopita ambapo watu wengi wanaamini kuwa mashambulia hayo yanahusiana mvutano wa kimakabila na kidini unaoendelea nchini Myanmar. Mwitikio wa awali wa serikali ya Myanmar wa kukanusha matukio haya uliwakasirisha watumiaji wengi wa mtandao.