· Aprili, 2011

Habari kuhusu Myanmar (Burma) kutoka Aprili, 2011

Myanmar: Simulizi za Wafanyakazi wa Misaada Baada ya Tetemeko la Ardhi

  10 Aprili 2011

Myanmar bado inasumbuka kutokana na tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.8 ambalo liliikumba nchi hiyo. Mwandishi wetu aliyeko Myanmar anatafsiri mahojiano na simulizi za wakazi pamoja na wafanyakazi wa misaada ambao walishuhudia kiwango cha uharibifu uliofanywa na tetemeko hilo kaskazini mashariki mwa Myanmar.