· Agosti, 2012

Habari kuhusu Myanmar (Burma) kutoka Agosti, 2012

Mfumo wa Kipekee wa Kuwapa watoto Majina wa Nchini Myanmar (Burma).

  27 Agosti 2012

Raia wengi wa Myanmar hawana majina ya ukoo. Je, umewahi kujiuliza wanajaza vipi fomu zinazowadai kujaza majina yao ya mwanzo na ya ukoo, au hata kujiuliza kuwa 'Daw' ina maana gani katika jina la Daw Aung San Suu Kyi? Hapa tutatazama mtindo wa pekee kabisa wa Mynmar wa kutoa majina.