Irrawaddy alisisitiza kuendelea kwa matatizo yanayowakabili waandishi wa habari nchini Myanmar licha ya mageuzi kutekelezwa na serikali
…Licha ya mabadiliko yanayoonekana katika jinsi serikali inavyotumikia vyombo vya habari, mawazo ya msingi ni kiasi sawa kama siku za nyuma: Waandishi wamepewa “nafasi” zaidi za kufanyia kazi, lakini mipaka ya nafasi hizo bado inaamuliwa na serikali .