Habari kuhusu The Bridge kutoka Juni, 2018
Samahani, Siongei Kiingereza. Naongea kwa Picha
"Hakuna kisichoweza kupigwa picha, hakuna kisichoweza kutupa simulizi jipya."
Kutoka Mavumbini mpaka Ushujaa
Ambapo mhamiaji asiyeandikishwa kutoka Mali anakwea ghorofa na—ghafla—anakuwa shujaa.