Habari Kuu kuhusu COVID-19
Habari kuhusu COVID-19
Nchini Tanzania, Serikali kukanusha uwepo wa UVIKO -19 kwawanyima wananchi taarifa muhimu za afya
Tangu mwezi Machi 2020, serikali ya Tanzania imenyamaza kuhusu virusi vya korona na hakuna takwimu zozote zinatolewa kuhusu maambukizi ya ugonjwa huo au vifo.
Umoja wa Afrika wageukia teknolojia ya uangalizi wa kibiolojia kukabiliana na COVID-19
PanaBIOS,teknolojia ya ufuatiliaji binadamu unao ungwa mkono na Umoja wa Afrika, unaweza fuatilia usambaa wa COVID-19 na kukutanisha vituo vya vipimo barani.
Televisheni ya taifa nchini China yapotosha matamshi ya mwanasayansi wa Shirika la Afrika Duniani (WHO) kwenye video inayosambaa sana
Neno"ikiwa "katika hotuba ya Dkt.Swaminathan ilitolewa kwenye video na kifungu cha ushirika iliokua awali kudokeza dalili
Ukeketaji Waongezeka Mashariki ya Kati Katika Kipindi cha Mlipuko wa Mlipuko wa COVID-19
Janga hili limetibua mikakati ya kuzuia ukeketaji huko Mashariki ya Kati ambapo suala hili linaripotiwa kwa uchache sana.