Habari kuhusu Matangazo
Nanjala Nyabola ajiunga na Global Voices kuwa Mkurugenzi wa Advox
Kama mkurugenzi wa mradi wa utetezi (Advox), Nanjala ataongoza uhariri wa uandishi wa habari za Global Voices, utafiti, uanaharakati na utetezi wa uhuru wa kujieleza na haki za kidijitali na teknolojia.
Nani Jansen Reventlow na Rasha Abdulla waungia kwenye bodi ya Global Voices
Tunafurahi kutangaza kuongezeka kwa wanachama wawili makini waliojiunga na bodi yetu ya wakurugenzi
Jumanne Hii ya Utoaji, Changia Global Voices
Kazi yetu na jumuiya ya waandishi wetu wa kimataifa ni ushahidi kwamba uhusiano wa binadamu bila kujali kiambaza cha tofauti mbalimbali unaweza kubadilisha namna watu wanavyouelewa ulimwengu.
Global Voices imetimiza miaka 15!
Wakati huu tunapotumiza miaka 15, tunachukua fursa hii kuwashukuru waandishi wetu mahiri waliosambaa duniani kote na wasomaji wetu waaminifu na washirika wetu kwa kuipa Global Voices nguvu na uwezo wa kuendelea kusonga mbele!
Jiandikishe Sasa kwa Mkutano Mkuu wa Global Voices 2017: Desemba 2-3 Jijini Colombo, Sri Lanka!
Mkutano Mkuu wa Global Voices 2017 umefunguliwa kwa ajili ya uandikishaji! Ungana nasi jijini Colombo kujadili hali ya uhuru wa mtandao, harakati za kiraia mtandaoni na haki kwenye zama za kidijitali.
Leo ni #Jumanne ya Kutoa—Changia Global Voices
Ili kuendelea kuwa na huru na kufanya kazi zetu ziwe endelevu, tunategemea misaada ya marafiki na wasomaji wetu. Tafadhali fikiri kuichangia Global Voices katika siku ya #Jumanne ya Kutoa.
Ellery Biddle awa Mkurugenzi Mpya wa Kitengo cha Utetezi, Global Voices
Kumtangaza Mkurugenzi mpya wa Utetezi wa Global Voices!
Mkutano wa Global Voices 2015, Tunasonga Mbele na Kupaa Juu Zaidi Kimafanikio
Pengine hatukuweza kuonekana kutokea angani, kama ilivyo kwa Ukuta Mkubwa wa China. Lakini kwa bahati nzuri kifaa mithili ya eropleni kilichofungwa kamera kiliweza kutuchukua picha za video tukiwa mbele ya Jengo la Provincial Capital la Mamlaka ya Jiji la Cebu majira ya mchana wa Januari 25, 2015, kikiwa umbali wa...
Jiandikishe Sasa kwa Mkutano wa Global Voices 2015: Januari 24-25 jijini Cebu, Ufilipino
Jiandikishe sasa kwa ajili ya Mkutano wa Global Voices 2015 jijini Cebu, Ufilipino, utakaokusanya wanaharakati na waandishi wa kiraia kutoka duniani kote.
Kutangaza Mkutano wa Global Voices, Dar es Salaam, Novemba 2, 2014
Mkutano wa kwanza unaowakutanisha waandishi na watafsiri wa Global Voices na wadau wa Uandishi wa Kiraia hapa nchini unafanyika Dar es Salaam, Tanzania