Habari kuhusu Matangazo kutoka Disemba, 2013
Wito wa Maombi ya Mradi – Ufadhili wa Maktaba za Umma wa EIFL

Maktaba za umma na zile za kijamii katika nchi zinazoendelea au nchi zenye uchumi wa mpito, zinakaribishwa kuwasilisha maombi ufadhili wa Mradi wa Kuboresha Maktaba za Umma unaoendeshwa na shirika la EIFL