· Disemba, 2020

Habari kuhusu Matangazo kutoka Disemba, 2020

Jumanne Hii ya Utoaji, Changia Global Voices

Kazi yetu na jumuiya ya waandishi wetu wa kimataifa ni ushahidi kwamba uhusiano wa binadamu bila kujali kiambaza cha tofauti mbalimbali unaweza kubadilisha namna watu...

Global Voices imetimiza miaka 15!

Wakati huu tunapotumiza miaka 15, tunachukua fursa hii kuwashukuru waandishi wetu mahiri waliosambaa duniani kote na wasomaji wetu waaminifu na washirika wetu kwa kuipa Global...