· Mei, 2014

Habari kuhusu Matangazo kutoka Mei, 2014

Global Voices na Connectas Watangaza Kushirikiana Maudhui

Global Voices itachapisha maudhui yanayoandikwa na CONNECTAS, mradi wa kiuandishi kwa Bara la Amerika Kusini uliopo nchini Columbia.

Misri, Palestina, China, India, Bangladesh, Ukraine Zashinda Katika Tuzo za Bobs

Washindi wa tuzo za The Bobs 2014 zilizoandaliwa na Deutsche Welle wametangazwa! Miradi ya mtandao kutoka Misri, Palestina, China, India, Bangladesh, Ukraine walichaguliwa kama washindi...