· Agosti, 2021

Habari kuhusu Matangazo kutoka Agosti, 2021

Nanjala Nyabola ajiunga na Global Voices kuwa Mkurugenzi wa Advox

Kama mkurugenzi wa mradi wa utetezi (Advox), Nanjala ataongoza uhariri wa uandishi wa habari za Global Voices, utafiti, uanaharakati na utetezi wa uhuru wa kujieleza...

Nani Jansen Reventlow na Rasha Abdulla waungia kwenye bodi ya Global Voices

Tunafurahi kutangaza kuongezeka kwa wanachama wawili makini waliojiunga na bodi yetu ya wakurugenzi