· Juni, 2014

Habari kuhusu Matangazo kutoka Juni, 2014

Wanajumuia wa Global Voices Washinda Tuzo za Knight News Challenge za Kuboresha Huduma ya Intaneti

Katika matokeo yaliyotangazwa hivi leo, wanajumuia wawili wa Global Voices waibuka washindi wa shindano la mwaka 2014 la Knight News Challenge.

Solana Larsen Aachia Ngazi kama Mhariri Mtendaji, Sahar Habib Ghazi Apokea Kijiti

Mabadiliko ya sura kwenye safu ya Uhariri. Mhariri Mtendaji Solana Larsen anapokelewa na aliyekuwa Naibu Mhariri, Sahar Habib Ghazi.