Habari kuhusu Matangazo kutoka Februari, 2010
Tangazo la Mkutano Mkuu wa Uanahabari wa Kiraia wa Global Voices 2010
Tunayo furaha kutangaza Mkutano Mkuu wa Uanahabari wa Kiraia wa Global Voices 2010! Mwaka huu mkutano wetu utafanyika katika mji mchangamfu wa Santiago, Chile tarehe 6-7, 2010.Kati ya vivutio vya mkutano huo kitakuwa ni kutangazwa kwa washindi wa Tuzo Ya Kuvunja Mipaka, tuzo mpya iliyoundwa na Google pamoja na Global Voices.