Habari kuhusu Jamhuri ya Afrika ya Kati

2015 Mwaka wa Kufanyika Chaguzi Huru na Haki Barani Afrika

Wekesa Sylvanus anataraji kwamba 2015 utakuwa mwaka wa chaguzi huru na haki barani Afrika: https://wekesasylvanus.wordpress.com/2015/02/18/will-2015-be-a-year-of-free-and-fair-elections-in-africa/ Tangu kurejeshwa kwa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi barani Afrika, ushindani nyakati za uchaguzi umekuwa suala la kufa na kupona kwenye nchi nyingi za ki-Afrika. Chaguzi barani Afrika ni suala lenye hatari zake na...

Uimarishaji wa Amani ya Kudumu Jamhuri ya Afrika ya Kati

  17 Septemba 2014

Wakati Umoja wa Mataifa ukizindua mpango wake wa kulinda amani kwa kutuma wanajeshi 1,500 nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, wafuatiliaji wachache wanajiuliza ni kwa nini uamuzi huu ulichukua muda mrefu pamoja na kuwepo kwa wahanga wengi wa machafuko. Les Cercles nationaux de Réflexion sur la Jeunesse (CNRJ) ni shirika lisilo...

Simulizi la Kusikitisha la Ibrahim na Djouma wa Jamhuri ya Afrika ya Kati

  10 Juni 2014

Djouma na Amadou Moussa ni wazazi wa Ibrahim. Djouma na Ibahim ni wahanga wa shambulizi la kikatili lililofanywa na  wanamgambo waaasi, tukio lililokatisha maisha ya ndugu watano wa damu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, karibu na mpaka wa Kameruni. Wanamgambo hao walikuja wakati  Amadou Moussa akiwa mbali na nyumbani kwake....

Katika Jamhuri ya Afrika, ”Bado Tuna Matumaini ya Kuishi Pamoja kwa Amani”

  1 Oktoba 2013

Kama mapigano baina ya waasi wa Sékéla na jeshi la taifa la Jamhuri ya Afrika ya Kati vinaendelea, mvutano katika mji wa Bossangoa. Wenyeji wanahofia kwamba migogoro inaweza kumwagika katika mapigano ya wazi kati ya jumuiya ya kikristo na Waislamu. Baadhi bado kushikilia tumaini kwa upatanisho angalau, kama Iman wa msikiti wa mji wa...