Habari kuhusu Jamhuri ya Afrika ya Kati kutoka Septemba, 2014

Uimarishaji wa Amani ya Kudumu Jamhuri ya Afrika ya Kati

  17 Septemba 2014

Wakati Umoja wa Mataifa ukizindua mpango wake wa kulinda amani kwa kutuma wanajeshi 1,500 nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, wafuatiliaji wachache wanajiuliza ni kwa nini uamuzi huu ulichukua muda mrefu pamoja na kuwepo kwa wahanga wengi wa machafuko. Les Cercles nationaux de Réflexion sur la Jeunesse (CNRJ) ni shirika lisilo...