Habari kuhusu Jamhuri ya Afrika ya Kati kutoka Juni, 2014

Simulizi la Kusikitisha la Ibrahim na Djouma wa Jamhuri ya Afrika ya Kati

  10 Juni 2014

Djouma na Amadou Moussa ni wazazi wa Ibrahim. Djouma na Ibahim ni wahanga wa shambulizi la kikatili lililofanywa na  wanamgambo waaasi, tukio lililokatisha maisha ya ndugu watano wa damu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, karibu na mpaka wa Kameruni. Wanamgambo hao walikuja wakati  Amadou Moussa akiwa mbali na nyumbani kwake....