Habari Kuu kuhusu Burkina Faso
Habari kuhusu Burkina Faso
#MatrikiUtambulisho: Mazungumzo ya Twita yanayoangazia utambulisho na haki za kidijitali barani Africa
Wanaharakati kutoka Burkina Faso, Nijeria, Afrika Kusini na Kenya, wataongoza mazungumzo kwenye mitandao ya kijamii kwa kutumia lugha zao za asili kuhusu masuala ya lugha, makabila na haki za kidijitali barani Afrika.
Video ya Katuni Yafafanua Mamlaka ya Mahakama ya Kiafrika katika Kulinda Haki na Binadamu na Raia
Huna hakika mahakama hiyo hufanya kazi gani? Video hii inaweza kusaidia.
‘Watu Wanapanda Boti hizo kwa Kuwa Bado Wanahitaji Kuishi’
Kampeni ya uokozi Sos Méditerranée yachapisha kwenye blogu yao maelezo ya watu walioponea chupuchupu wakielekea Ulaya kupitia bahari ya Mediterranean
Baada ya Maandamano Burkina Faso na Burundi, Naija na Togo Zinafuata?
Wanaija 20,000 wameingia mitaani mjini Niamey, Naija mnamo Juni, 6. Kuna ababu nyingi za maandamano hayo: umaskini uliokithiri, utawala mbovu na kubanwa kwa uhuru wa kujieleza yakiwa ni moja wapo ya malalamiko ya asasi za kiraia nchini humo. Maandamano kama haya yalitokea katika nchi za Burkina Faso, Burundi na Togo....
2015 Mwaka wa Kufanyika Chaguzi Huru na Haki Barani Afrika
Wekesa Sylvanus anataraji kwamba 2015 utakuwa mwaka wa chaguzi huru na haki barani Afrika: https://wekesasylvanus.wordpress.com/2015/02/18/will-2015-be-a-year-of-free-and-fair-elections-in-africa/ Tangu kurejeshwa kwa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi barani Afrika, ushindani nyakati za uchaguzi umekuwa suala la kufa na kupona kwenye nchi nyingi za ki-Afrika. Chaguzi barani Afrika ni suala lenye hatari zake na...
Picha za Mabaki ya Ndege ya Shirika la Algeria AH5017 Nchini Mali Yaonyesha Ghasia, Kuanguka kwa Ghafla
VERY FIRST images of #AH5017 #AirAlgerie trickling out, via @AirLiveNet http://t.co/4pKox7rgjn pic.twitter.com/rngGTv7Rbs — Jason Morrell (@CNNJason) July 25, 2014 PICHA ZA KWANZA za ndege ya AH5017 ya Shirika la Ndege la Algeria ikianguka, kupitia @AirLiveNet Kipande cha kwanza cha video cha ajali ya ndege sasa kinapatikana. Tunamshukuru mwanajeshi wa Burkina...
Niger Yapata Kituo Chake cha Kwanza cha Reli Baada ya Kusubiri kwa Miaka 80
Aprili 7, Niger ilizindua katika mji mkuu wa Niamey kituo chake cha kwanza cha treni kuwahi [fr]. Mamlaka tayari ilikuwa na makadirio ya ujenzi wa kituo cha treni miaka 80 iliyopita lakini mradi kamwe haukuanzishwa. Tukio hilo litaanzisha ujenzi wa reli kati ya Niger, Benin, Burkina Faso na Côte d'Ivoire....
Theluthi ya Mimba Nchi Burkina Faso Hutungwa Bila Kutarajiwa
Watafiti wa Masuala ya Kijamii wa L’Institut supérieur des sciences de la population (Taasisi ya Sayansi ya Idadi ya Watu) mjini Ouagadougou, Burkina Faso ilichapisha ripoti yenye kichwa cha habari “Grossesses non désirées et avortements au Burkina : causes et conséquences” (Sababu na matokeo ya Mimba zisizotarajiwa na utoaji wa mimba...
Mradi Mkubwa wa Reli Kati ya Mji wa Niamey na Cotonou Kuanza
Mradi wa reli wa urefu wa kilometa 1,500 kati ya Niamey, mji mkuu wa Niger na Cotonou, mji mkuu wa Benin umepitishwa na mamlaka ya nchi hizo mbili na ujenzi utaanza Machi 2014 [fr]. Francois Ndiaye katika Niamey anaelezea kuhusu makubaliano ya fedha [fr] inayojumuisha wadau mbalimbali na itasimamiwa na kundi la uwekezaji...