Habari kuhusu Burkina Faso kutoka Februari, 2014

Theluthi ya Mimba Nchi Burkina Faso Hutungwa Bila Kutarajiwa

  28 Februari 2014

Watafiti wa Masuala ya Kijamii wa L’Institut supérieur des sciences de la population (Taasisi ya Sayansi ya Idadi ya Watu) mjini Ouagadougou, Burkina Faso ilichapisha ripoti yenye kichwa cha habari “Grossesses non désirées et avortements au Burkina : causes et conséquences” (Sababu na matokeo ya Mimba zisizotarajiwa na utoaji wa mimba...